Podcasts
Enjeux de société
An be kuma kankɔnɔdiimibana "diphtérie" de kan bi o min be ka ye Sénégal, Mauritanie ani Nigéria
9:58
Swahili (generic)
Podcasts
2026
Tangu katikati ya Januari 2026, mji wa Kindu, kule DRC, umekumbwa na wimbi la hofu lililochochewa na uvumi wa madai ya kupotea au wizi wa sehemu za siri za wanaume kwa njia rahisi ya kugusana.
Ni katika muktadha huu ambapo video inasambaa kwenye Facebook, TikTok, na katika vikundi kadhaa vya WhatsApp, vilivyowasilishwa kama sehemu ya matangazo ya habari ya France 24. France 24 haijawahi kutangaza hili
07 février 2026
Swahili (generic)
9 Mo