Podcasts
Enjeux de société
An be kuma kankɔnɔdiimibana "diphtérie" de kan bi o min be ka ye Sénégal, Mauritanie ani Nigéria
9:57
Swahili (generic)
Podcasts
2026
Wiki hii Warundi nchini Kenya waliingiwa na wasiwasi kutokana na amri ya rais William ruto kuhusu wachuuzi wadogo wadogo. Video ya uongo inadai Mkenya alichoma mali ya raia wa kigeni. Huu ni uongo.
Tukio hilo lilitokea eneo la Kitemu nchini Uganda siku ya Jumapili. Halihusiani na Kenya wala chuki dhidi ya wageni.
Serikali imesema hakuna agizo la kuwafukuza au kuwadhibiti kinyume cha sheria raia wa kigeni.
11 septembre 2026
Swahili (generic)
9 Mo