Podcasts
Enjeux de société
An be kuma kankɔnɔdiimibana "diphtérie" de kan bi o min be ka ye Sénégal, Mauritanie ani Nigéria
9:59
Swahili (generic)
Podcasts
2025
Nchi ya Tanzania ilifanya uchaguzi Oktoba 29. Na utakumbuka chama kikuu cha upinzani CHADEMA kilizuiwa kushiriki. Lakini kabla uchaguzi huu, kuna video mitandaoni kwenye Facebook, X lakini pia nakala zilizochapishwa zikidai kiongozi wake Tundu Lissu alishinda kesi ya uhaini dhidi yake, lakini alichagua kukaa rumande hadi uchaguzi utakapokamilika. Sio kweli.
01 novembre 2025
Swahili (generic)
9 Mo