Podcasts
Enjeux de société
An be kuma kankɔnɔdiimibana "diphtérie" de kan bi o min be ka ye Sénégal, Mauritanie ani Nigéria
10:06
Swahili (generic)
Podcasts
2025
Chapisho kwenye Facebook linadai kuonesha dawa ya nyumbani inayotibu ugonjwa wa moyo, likiwaelekeza watu kuchanganya nusu kijiko cha chai cha tangawizi, kitunguu saumu, binzari ya manjano na pilipili kwenye kikombe cha maji ya vuguvugu. Mchapishaji anawashauri watumiaji kunywa mchanganyiko huo asubuhi na jioni kwa wiki moja hadi mbili.
Kwa mujibu wa shirika la Afya duniani WHO, Ugonjwa wa moyo ni moja ya sababu kuu za vifo.
RFI Kiswahili tumewasiliana na baadhi ya wahudumu na wataalam wa afya kupata ukweli kuhusu hili, mmoja anasema hajawahi kushuhudia utafiti unaounga mkono kauli hii, wala hajashuhudia mtu ambaye amepona kwa kutumia mchanganyiko huu.
Kwa mengi zaidi bofya hapo kusikiliza makala haya.
12 décembre 2025
Swahili (generic)
9 Mo