Podcasts
Enjeux de société
An be kuma kankɔnɔdiimibana "diphtérie" de kan bi o min be ka ye Sénégal, Mauritanie ani Nigéria
10:00
Swahili (generic)
Podcasts
2025
Shirika la habari la CNN hivi maajuzi lilichapisha uchunguzi kuhusu ghasia za baada ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania kupitia mwandishi wao Larry Madowo, ikionesha ushahidi wa namna polisi iliua waandamanaji wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025.
Mwishoni mwa mwezi Novemba, klipu ilienea mtandaoni ikionesha rais wa Uganda Yoweri Museveni akimuonya mwandishi wa CNN Larry Madowo dhidi ya kufanya ripoti sawia na hiyo katika uchaguzi mkuu wa Januari mwakani. Hata hivyo tumebaini kuwa huu ni uongo, video hii ni ya mwaka 2023, sauti imebadilishwa kupitia teknolojia ya akili unde yaani Artificial Inteligence.
06 décembre 2025
Swahili (generic)
9 Mo