Podcasts
Enjeux de société
An be kuma kankɔnɔdiimibana "diphtérie" de kan bi o min be ka ye Sénégal, Mauritanie ani Nigéria
9:59
Swahili (generic)
Podcasts
2025
Kwa takriban wiki mbili sasa Mkutano wa mazingira ulifanyika mjini Belem, nchini Brazil, maarufu COP30. Kuna machapisho ya mitandao ya kijamii yakidai msitu wa Amazon ulikatwa ili kujenga barabara ili wajumbe waweze kufika kwenye mkutano huo.
Madai haya yamekuwa yakisambaa kwa miezi kadhaa. Katika mtandao wa X, watu kadhaa pia walitoa maoni kinzani katika chapisho la rais wa tume ya Ulaya Ursula Von De Leyen.
Kiuhalisia, madai hayo yanapotosha. Ndiyo, ni kweli, sehemu ya msitu wa Amazon ilikatwa ili kujenga barabara ya Avenida Liberdade.
Lakini mipango ya ujenzi wa barabara hii ilianza mwaka wa 2012, muda mrefu kabla ya Belem kuchaguliwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa mwaka huu.
21 novembre 2025
Swahili (generic)
9 Mo