Podcasts
Enjeux de société
An be kuma kankɔnɔdiimibana "diphtérie" de kan bi o min be ka ye Sénégal, Mauritanie ani Nigéria
9:30
Swahili (generic)
Podcasts
2025
Tangu Julai tarehe 21 mwaka huu, video fupi imekuwa ikienea kwenye Titktok ikionesha wanaume waliojihami wakitambulishwa kama M23 wakidai kuuteka mkoa wa Haut-Katanga nchini DRC.
Katika klipu hii fupi, mtu mmoja anasema “Katanga ni yetu, Tshisekedi lazima akubali majadiliano, la sivyo atapoteza nchi nzima” Baada ya kuchunguza klipu tunapata imeundwa na akili mnemba AI.
Sababu kadhaa zilitufanya tutilie shaka ukweli wa video hii. Kwanza, simulizi, inaonekana ya roboti, ikiashiria uwezekano imetengenezwa na programu ya AI.
Ili kuthibitisha habari hii tumetumia picha ya skrini na kufanya uchunguzi kwa kutumia Reverse Image Search kwenye google, hatukupata matokeo kwenye chanzo cha kuaminika; hakuna chombo cha habari, ikijumuisha mashirika ya habari ya ndani au ya kimataifa, yaliyothibitisha video hii.
06 septembre 2025
Swahili (generic)
8 Mo