Podcasts
Enjeux de société
Erdogan hints at larger nuclear partnership with Russia, unsettling Turkey's allies
9:53
Swahili (generic)
Podcasts
2026
Jamii ya wamaasai ambayo Kwa miaka mingi inategemea mifugo imekuwa ikipata changamoto haswa wakati wa kiangazi.
Kiangazi uathiri mifugo kwani ukosefu wa lishe unasababisha wanyama kufa.
Hata hivyo Jamii hiyo imebuni mbinu mbadala ya kisasa ya ufugaji samaki. Lakini kutokana na joto jingi linaloshuhudia katika eneo la kajiado, tatizo la kuwakuza samaki hao katika vidimbwi inaonekana wazi wazi kwani wakulima hawana vifaa vya kisasa vya kupima nyuzi joto katika vidimbwi vya samaki.
18 janvier 2026
Swahili (generic)
9 Mo