Podcasts
Enjeux de société
An be kuma kankɔnɔdiimibana "diphtérie" de kan bi o min be ka ye Sénégal, Mauritanie ani Nigéria
9:52
Swahili (generic)
Podcasts
2025
Mnamo Novemba 2025, rais wa Uganda Yoweri Museveni alionya kwamba nchi yake inaweza kuingia vitani na majirani zake katika siku zijazo juu ya umiliki wa Bahari ya Hindi. Siku chache baadaye, video inayoonyesha ndege ya kivita ikifanya mazoezi ya angani ilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, watumiaji wakidai ilionyesha ndege ya Uganda ikishiriki mazoezi ya kijeshi baada ya matamshi ya Museveni.
Ili kuhakiki, tulitafuta maneno "ndege ya kivita ya Uganda", tulipata video kama hiyo iliyowekwa kwenye YouTube mnamo Juni 2023.
19 décembre 2025
Swahili (generic)
9 Mo