Podcasts
Enjeux de société
An be kuma kankɔnɔdiimibana "diphtérie" de kan bi o min be ka ye Sénégal, Mauritanie ani Nigéria
9:44
Swahili (generic)
Podcasts
2026
Habari inayosambaa ikidai bingwa mara mbili katika mchezo wa ndondi Anthony Joshua, kwamba amestaafu baada ya kuhusika katika ajali mwezi Disemba mwaka 2025 nchini Nigeria ni uongo.
Sauti inayotumika imebadilishwa kupitia programu ya Akili Unde AI, picha ya awali ni ya mkutano na waandishi wa habari baada ya Joshua kushindwa mwaka 2022.
#UkweliKwanza, #StopFakeNews, #BoxingTruth
02 février 2026
Swahili (generic)
8 Mo