-
12
pages
-
Swahili (generic)
-
Ebooks
-
2019
Description
"Anakanyaga kwenye ardhi na kuzima injini, na ghafla anapovua helmeti yake na kuzitikisa nywele zake zilizomfika mabegani ili zisimame vyema kichwani, inanifanya nijihisi kuwa nimepumbazika. Mzizimo unanikimbia mwilini mwangu. Siwezi kudhibiti msukumo unaoyafanya macho yangu yamwangalie kwa juu, na ninafanya hivyo bila kusita. Macho yetu yanapokutana, mawimbi ya nguvu za umeme yananipita mwilini mwangu. Ninasahau kabisa kupumua, hadi pale ambapo mapafu yangu yanapoanza kudai pumzi ndipo ninapovuta hewa nyingi ndani." Hadithi hii fupi imechapishwa kwa ushirikiano na mzalishaji wa filamu wa Kiswidi Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.
-
Publié par
-
Date de parution
11 septembre 2019
-
EAN13
9788726216554
-
Langue
Swahili (generic)